Ayubu 34:11
Humlipa mwanadamu kwa ajili ya lile alilotenda; 2 huleta juu yake kile ambacho matendo yake yanastahili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the work of a man shall he render unto him, and cause every man to find according to his ways.
In Context
Cross References
1 Samuel 26:23Bwana humlipa kila mtu kwa ajili ya haki yake na uaminifu wake. Bwana alikutia katika mikono yangu leo, lakini sikuinua mkono wangu juu ya mpakwa mafuta wa Bwana.
Psalms 62:12na kwamba, Ee Bwana, 2 wewe ni mwenye upendo. 1 Hakika utampa kila mtu thawabu 2 kwa kadiri ya alivyotenda.
Proverbs 24:12Kama mkisema, “Lakini hatukujua lolote kuhusu hili,” 2 je, yule apimaye mioyo halitambui hili? 1 Je, yule awalindaye maisha yenu halijui hili? 2 Je, hatamlipa kila mtu kulingana na aliyotenda? 1
Jeremiah 32:19makusudi yako ni makuu, na matendo yako ni yenye uwezo. Macho yako yanaona njia zote za wanadamu, nawe humlipa kila mmoja kulingana na mwenendo wake, na kama yanavyostahili matendo yake.
Ezekiel 33:17“Lakini watu wako wanasema, ‘Njia ya Bwana si sawa.’ Lakini ni njia zao ambazo si sawa.
Romans 2:6Kwa maana Mungu atamlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.