Ayubu 34:14
Kama lilikuwa kusudi la Mungu, 2 naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If he set his heart upon man, if he gather unto himself his spirit and his breath;
In Context
13Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? 2 Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? 1
15wanadamu wote wangeliangamia kwa pamoja, 2 na mtu angerudi mavumbini. 1
Cross References
Job 7:17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki, 2 kwamba unamtia sana maanani, 1
Psalms 90:3Huwarudisha watu mavumbini, 2 ukisema, “Rudini mavumbini, enyi wanadamu.” 1
Isaiah 24:22Watakusanywa pamoja 2 kama wafungwa waliofungwa gerezani, 1 watafungiwa gerezani 2 na kuadhibiwa baada ya siku nyingi. 1