The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 24 › Isaya 24:22

Isaya 24:22

Watakusanywa pamoja 2 kama wafungwa waliofungwa gerezani, 1 watafungiwa gerezani 2 na kuadhibiwa baada ya siku nyingi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they shall be gathered together, as prisoners are gathered in the pit, and shall be shut up in the prison, and after many days shall they be visited.

In Context

21Katika siku ile Bwana ataadhibu 2 nguvu zilizoko mbinguni juu, 2 na wafalme walioko duniani chini. 1

23Mwezi utatiwa haya, nalo jua litaaibishwa; 2 kwa maana Bwana Mwenye Nguvu Zote atawala 1 juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, 2 tena mbele ya wazee wake kwa utukufu.

Read all of Isaya 24

Cross References

Joshua 10:22Ndipo Yoshua akasema, “Haya fungueni mdomo wa pango, mniletee hao wafalme watano.”

Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1

Isaiah 42:22Lakini hili ni taifa lililoibwa na kutekwa nyara, 2 wote wamenaswa katika mashimo, 2 au wamefichwa katika magereza. 1 Wamekuwa nyara, 2 wala hapana yeyote awaokoaye. 1 Wamefanywa mateka, 2 wala hapana yeyote asemaye, “Warudishe.” 1

Ezekiel 38:8Baada ya siku nyingi utaitwa vitani. Katika miaka ijayo, utaivamia nchi ile ambayo imepona kutoka vita, ambayo watu wake walikusanywa kutoka mataifa mengi kuja katika milima ya Israeli, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa imeachwa ukiwa. Wameletwa kutoka mataifa na sasa wote wanaishi katika hali ya salama.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 24:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 24:21Isaya 24Isaya 24:23 →