Ayubu 34:3
Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno 2 kama vile ulimi uonjavyo chakula. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the ear trieth words, as the mouth tasteth meat.
In Context
2“Sikieni maneno yangu, enyi watu wenye hekima; 2 nisikilizeni mimi, ninyi watu wenye maarifa. 1
4Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, 2 nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. 1
Cross References
Job 6:30Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? 2 Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?
Job 31:30lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi 2 kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake; 1
1 Corinthians 2:15Mtu wa kiroho hubainisha mambo yote, lakini yeye mwenyewe habainishwi na mtu yeyote. 1