The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 34 › Ayubu 34:4

Ayubu 34:4

Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, 2 nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let us choose to us judgment: let us know among ourselves what is good.

In Context

3Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno 2 kama vile ulimi uonjavyo chakula. 1

5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1

Read all of Ayubu 34

Cross References

Judges 19:30Kila mtu aliyeona akasema, “Jambo la namna hii halijaonekana wala kutendeka, tangu Israeli walipopanda kutoka Misri. Fikirini juu ya jambo hili! Tafakarini juu ya jambo hili! Tuambieni tufanye nini!”

Job 34:36Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, 2 kwa sababu anajibu kama mtu mwovu! 1

John 7:24Acheni kuhukumu mambo kwa jinsi mnavyoona tu, bali hukumuni kwa haki.” 1 Je, Yesu Ndiye Kristo?

1 Corinthians 6:2Je, hamjui kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Nanyi kama mtauhukumu ulimwengu, je, hamwezi kuamua mambo madogo madogo?

1 Thessalonians 5:21Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 34:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 34:3Ayubu 34Ayubu 34:5 →