Ayubu 34:32
Nifundishe nisichoweza kuona; 2 kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That which I see not teach thou me: if I have done iniquity, I will do no more.
In Context
31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, 2 ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 1
Cross References
Numbers 22:34Balaamu akamwambia malaika wa Bwana, “Nimetenda dhambi. Sikutambua kuwa umesimama barabarani kunizuia. Basi kama haikupendezi, nitarudi.”
Job 33:27Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Psalms 19:12Ni nani awezaye kutambua makosa yake? 2 Nisamehe makosa yangu nisiyoyajua. 1
Psalms 25:4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana, 2 nifundishe mapito yako, 1
Psalms 139:23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, 2 nijaribu na ujue mawazo yangu. 1
Proverbs 28:13Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, 2 bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema. 1