Ayubu 33:27
Ndipo huja mbele za watu na kusema, 2 ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, 2 lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, 2 nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 1
Cross References
Genesis 16:13Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.”
2 Samuel 12:13Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya Bwana.” Nathani akamjibu, “ Bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.
Job 7:20Ikiwa nimetenda dhambi, nimekufanyia nini, 2 Ewe mlinzi wa wanadamu? 1 Kwa nini umeniweka niwe shabaha yako? 2 Je, nimekuwa mzigo kwako? 1
Psalms 11:4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1
Psalms 19:7Sheria ya Bwana ni kamilifu, 2 ikihuisha nafsi. 1 Shuhuda za Bwana ni za kuaminika, 2 zikimpa mjinga hekima. 1
Psalms 119:128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, 2 nachukia kila njia potovu. 2 Shauku Ya Kuitii Sheria Ya Bwana 1