Ayubu 36:14
Wanakufa wangali vijana, 2 miongoni mwa wanaume hanithi wa mahali pa kuabudia miungu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They die in youth, and their life is among the unclean.
In Context
13“Wasiomcha Mungu moyoni mwao huficha chuki; 2 hata anapowafunga, hawamwombi msaada. 1
15Bali wao wanaoteseka huwaokoa katika mateso yao, 2 na kuzungumza nao katika dhiki zao. 1
Cross References
Genesis 19:24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora.
Leviticus 10:1Nadabu na Abihu, wana wa Aroni, wakachukua vyetezo vyao, wakaweka moto ndani yake na kuongeza uvumba; kisha wakamtolea Bwana moto usio halali, kinyume na agizo la Mungu.
Job 15:32Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, 2 nayo matawi yake hayatastawi. 1
Job 22:16Waliondolewa kabla ya wakati wao, 2 misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 1