The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 15 › Ayubu 15:32

Ayubu 15:32

Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, 2 nayo matawi yake hayatastawi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It shall be accomplished before his time, and his branch shall not be green.

In Context

31Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, 2 kwa kuwa hatapata malipo yoyote. 1

33Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, 2 kama mzeituni unaodondosha maua yake. 1

Read all of Ayubu 15

Cross References

Job 8:16Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, 2 ukieneza machipukizi yake bustanini; 1

Job 18:16Mizizi yake chini itakauka 2 na matawi yake juu yatanyauka. 1

Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1

Proverbs 10:27Kumcha Bwana huongeza urefu wa maisha, 2 lakini miaka ya mwovu inafupishwa. 1

Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.

Hosea 9:16Efraimu ameharibiwa, 2 mzizi wao umenyauka, 2 hawazai tunda. 1 Hata kama watazaa watoto, 2 nitawachinja watoto wao 2 waliotunzwa vizuri.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 15:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 15:31Ayubu 15Ayubu 15:33 →