Ayubu 37:6
Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’ 2 nayo manyunyu ya mvua, ‘Uwe mvua ya nguvu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu; 2 yeye hutenda mambo makuu kupita ufahamu wetu. 1
7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake, 2 yeye humzuilia kila mtu shughuli zake. 1
Cross References
Genesis 7:10Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.
Ezra 10:13Lakini hapa pana watu wengi na ni wakati wa mvua, hivyo hatuwezi kusimama nje. Hata hivyo, shauri hili haliwezi kumalizika kwa siku moja au mbili, kwa sababu tumefanya dhambi kubwa katika jambo hili.
Job 36:27“Yeye huvuta juu matone ya maji, 2 ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 1
Psalms 147:16Anatandaza theluji kama sufu 2 na kutawanya umande kama majivu. 1
Proverbs 28:3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi 2 ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 1
Ezekiel 13:13“ ‘Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Katika ghadhabu yangu nitauachia upepo wa dhoruba, pia katika hasira yangu mvua ya mawe na mvua ya mafuriko itanyesha ikiwa na ghadhabu ya kuangamiza.