The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 36 › Ayubu 36:27

Ayubu 36:27

“Yeye huvuta juu matone ya maji, 2 ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he maketh small the drops of water: they pour down rain according to the vapour thereof:

In Context

26Tazama jinsi Mungu alivyo mkuu, 2 kupita ufahamu wetu! 2 Hesabu ya miaka yake haitafutiki. 1

28mawingu huangusha chini maji yake, 2 nayo mvua nyingi huwanyeshea wanadamu. 1

Read all of Ayubu 36

Cross References

Genesis 2:5hapakuwepo na mche wa shambani uliokuwa umejitokeza ardhini, wala hapakuwepo na mmea wa shamba uliokuwa umeota, kwa kuwa Bwana Mungu alikuwa hajanyeshea mvua juu ya nchi, na hapakuwepo mtu wa kuilima ardhi,

Job 5:10Yeye huipa nchi mvua, 2 huyapeleka maji kunyesha mashamba. 1

Job 36:33Ngurumo zake hutangaza dhoruba inayokuja; 2 hata mifugo hujulisha kukaribia kwake. + 36:33 Au: hutangaza kuja kwake.

Job 38:34“Waweza kuiinua sauti yako mpaka mawinguni, 2 na kujifunika mwenyewe na gharika ya maji? 1

Psalms 147:8Yeye huzifunika anga kwa mawingu, 2 huinyeshea ardhi mvua, 2 na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 1

Proverbs 3:20kwa maarifa yake vilindi viligawanywa, 2 nayo mawingu yanadondosha umande. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 36:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 36:26Ayubu 36Ayubu 36:28 →