Ayubu 38:14
Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; 2 sura yake hukaa kama ile ya vazi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is turned as clay to the seal; and they stand as a garment.
In Context
13yapate kushika miisho ya dunia, 2 na kuwakungʼuta waovu waliomo? 1
15Waovu huzuiliwa nuru yao, 2 nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa. 1
Cross References
Psalms 104:6Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, 2 maji yalisimama juu ya milima. 1