The Bible Software
bible.softwareJobJob 38 › Job 38:13

Job 38:13

yapate kushika miisho ya dunia, 2 na kuwakungʼuta waovu waliomo? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That it might take hold of the ends of the earth, that the wicked might be shaken out of it?

In Context

12“Umepata kuiamrisha asubuhi ipambazuke, 2 au kuyaonyesha mapambazuko mahali pake, 1

14Dunia hubadilika kama udongo wa mfinyanzi chini ya lakiri; 2 sura yake hukaa kama ile ya vazi. 1

Read all of Job 38

Cross References

Exodus 14:27Mose akanyoosha mkono wake juu ya bahari, wakati wa mapambazuko bahari ikarudiana na kuwa kama kawaida. Wamisri wakajaribu kuyakimbia maji, lakini Bwana akawasukumia ndani ya bahari.

Job 24:17Kwa wote hawa, giza nene ndiyo asubuhi yao; 2 hujifanya rafiki na vitisho vya gizani. 1

Psalms 19:4Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu. 1 Katika mbingu amepiga hema kwa ajili ya jua, 2

Psalms 104:21Simba hunguruma kwa mawindo yao, 2 na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu. 1

Psalms 139:9Kama nikipanda juu ya mbawa za mapambazuko, 2 kama nikikaa pande za mbali za bahari, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 38:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 38:12Job 38Job 38:14 →