Ayubu 38:18
Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? 2 Niambie kama unajua haya yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hast thou perceived the breadth of the earth? declare if thou knowest it all.
In Context
17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? 2 Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 1
19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? 2 Nako maskani mwa giza ni wapi? 1
Cross References
Job 28:24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia 2 na huona kila kitu chini ya mbingu. 1
Psalms 89:11Mbingu ni zako, nayo nchi pia ni yako, 2 uliuwekea ulimwengu msingi 2 pamoja na vyote vilivyomo. 1
Jeremiah 31:37Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Ikiwa mbingu zilizo juu zitaweza kupimika 2 na misingi ya dunia chini 2 ikaweza kuchunguzwa, 1 ndipo nitakapowakataa wazao wote wa Israeli 2 kwa sababu ya yote waliyoyatenda,” 4 asema Bwana.