Ayubu 38:19
“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? 2 Nako maskani mwa giza ni wapi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Where is the way where light dwelleth? and as for darkness, where is the place thereof,
In Context
18Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? 2 Niambie kama unajua haya yote. 1
20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? 2 Unajua njia za kufika maskani mwake? 1
Cross References
Genesis 1:3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
Deuteronomy 4:19Na utazamapo juu angani na ukaliona jua, mwezi na nyota na vyote vinavyoipamba mbingu, usije ukashawishiwa kuviinamia na kuviabudu vile ambavyo Bwana Mungu wenu alivyogawia mataifa yote chini ya mbingu.
Psalms 18:11Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika, 2 hema lake kumzunguka, 2 mawingu meusi ya mvua ya angani. 1
Psalms 105:28Alituma giza na nchi ikajaa giza, 2 kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake? 1
Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1
Amos 4:13Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.