Genesis 6:21
Utachukua kila aina ya chakula kitakacholiwa, na ukiweke akiba kama chakula kwa ajili yako na yao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
Cross References
Genesis 1:29Kisha Mungu akasema, “Nimewapa kila mche utoao mbegu juu ya uso wa dunia yote, na kila mti wenye matunda yenye mbegu ndani yake. Vitakuwa chakula chenu.
Job 38:41Ni nani ampaye kunguru chakula 2 wakati makinda yake yanamlilia Mungu, 2 yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?
Psalms 35:6Njia yao na iwe giza na ya utelezi, 2 malaika wa Bwana akiwafuatilia. 1
Psalms 136:25Ambaye humpa chakula kila kiumbe. Fadhili zake zadumu milele. 1
Psalms 147:9Huwapa chakula mifugo 2 na pia makinda ya kunguru yanapolia. 1