Job 39:3
Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; 2 utungu wa kuzaa unakoma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They bow themselves, they bring forth their young ones, they cast out their sorrows.
In Context
2Je, waweza kuhesabu miezi hadi wazaapo? 2 Je, unajua majira yao ya kuzaa? 1
4Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; 2 huenda zao wala hawarudi tena. 1