Ayubu 39:4
Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; 2 huenda zao wala hawarudi tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Wao hujiinamisha na kuzaa watoto wao; 2 utungu wa kuzaa unakoma. 1
5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? 2 Ni nani aliyezifungua kamba zake? 1