Job 39:6
Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, 2 nchi ya chumvi kuwa makao yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whose house I have made the wilderness, and the barren land his dwellings.
In Context
5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? 2 Ni nani aliyezifungua kamba zake? 1
7Huzicheka ghasia za mji, 2 wala hasikii kelele za mwendesha gari. 1
Cross References
Deuteronomy 29:23Nchi yote itakuwa jaa linaloungua la chumvi na kiberiti: hakutakuwa kilichopandwa, hakutakuwa kinachochipua, wala hakutakuwa mimea inayoota juu yake. Itakuwa kama maangamizo ya Sodoma na Gomora, Adma na Seboimu, ambazo Bwana aliangamiza kwa hasira kali.
Psalms 107:34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, 2 kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 1
Jeremiah 17:6Atakuwa kama kichaka cha jangwani; 2 hataona mafanikio yatakapokuja. 1 Ataishi katika sehemu zisizo na maji, 2 katika nchi ya chumvi ambapo 2 hakuna yeyote aishiye humo. 1
Hosea 8:9Kwa kuwa wamepanda kwenda Ashuru 2 kama punda-mwitu anayetangatanga peke yake. 1 Efraimu amejiuza mwenyewe 2 kwa wapenzi. 1