Job 39:5
“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? 2 Ni nani aliyezifungua kamba zake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who hath sent out the wild ass free? or who hath loosed the bands of the wild ass?
In Context
4Watoto wao hustawi na kuongezeka nguvu nyikani; 2 huenda zao wala hawarudi tena. 1
6Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, 2 nchi ya chumvi kuwa makao yake. 1
Cross References
Genesis 16:12Atakuwa punda-mwitu katikati ya wanadamu, 2 mkono wake utakuwa dhidi ya kila mtu 2 na mkono wa kila mtu dhidi yake, 1 naye ataishi kwa uhasama 2 na ndugu zake wote.”
Job 6:5Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, 2 au ngʼombe dume hulia akiwa na chakula? 1
Job 24:5Kama punda-mwitu jangwani, 2 maskini huzunguka katika kazi zao za kutafuta chakula; 1 mahali palipo jangwa 2 huwapa chakula cha watoto wao. 1
Psalms 104:11Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, 2 punda-mwitu huzima kiu yao. 1
Jeremiah 2:24punda-mwitu aliyezoea jangwa, 2 anayenusa upepo katika tamaa yake kubwa: 1 katika wakati wake wa kuhitaji mbegu 2 ni nani awezaye kumzuia? 1 Madume yoyote yanayomfuatilia 2 hayana haja ya kujichosha; 2 wakati wa kupandwa kwake watampata tu. 1
Daniel 5:21Akafukuzwa mbali na wanadamu na kupewa akili ya mnyama, akaishi pamoja na punda-mwitu, akala majani kama ngʼombe, nao mwili wake ukaloweshwa kwa umande wa mbingu, mpaka alipotambua kwamba Mungu Aliye Juu Sana ndiye mtawala juu ya falme za wanadamu na kwamba humtawaza juu yao yeyote amtakaye.