Job 39:9
“Je, nyati atakubali kukutumikia? 2 Atakaa karibu na hori lako usiku? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will the unicorn be willing to serve thee, or abide by thy crib?
In Context
8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho 2 na kutafuta kila kitu kibichi. 1
10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? 2 Je, atalima mabonde nyuma yako? 1
Cross References
Numbers 23:22Mungu aliwatoa kutoka Misri; 2 wao wana nguvu za nyati. 1
Psalms 22:21Niokoe kutoka kinywani mwa simba, 2 niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu. 1
Isaiah 1:3Ngʼombe anamjua bwana wake, 2 naye punda anajua hori la mmiliki wake, 1 lakini Israeli hajui, 2 watu wangu hawaelewi.” 1