The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 23 › Numbers 23:22

Numbers 23:22

Mungu aliwatoa kutoka Misri; 2 wao wana nguvu za nyati. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

God brought them out of Egypt; he hath as it were the strength of an unicorn.

In Context

21“Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo, 2 wala taabu katika Israeli. 1 Bwana, Mungu wao yu pamoja nao, 2 nayo sauti kuu ya Mfalme imo katikati yao. 1

23Hakuna uchawi dhidi ya Yakobo, 2 wala hakuna uaguzi dhidi ya Israeli. 1 Sasa itasemwa kuhusu Yakobo 2 na Israeli, ‘Tazama yale Mungu aliyotenda!’ 1

Read all of Numbers 23

Cross References

Exodus 12:41Ilikuwa ni siku ya mwisho ya hiyo miaka 430, vikosi vyote vya Bwana vilipokuwa vimeondoka Misri.

Exodus 14:18Nao Wamisri watajua kwamba Mimi ndimi Bwana nitakapojipatia utukufu kupitia Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake.”

Numbers 22:5akatuma wajumbe kwenda kumwita Balaamu mwana wa Beori, ambaye alikuwa huko Pethori, karibu na Mto Frati, katika nchi yake ya kuzaliwa. Balaki akasema: “Taifa limekuja kutoka Misri, nao wamefunika uso wa nchi, nao wametua karibu nami.

Deuteronomy 33:17Katika fahari yeye ni kama fahali mzaliwa wa kwanza; 2 pembe zake ni pembe za nyati, 1 na kwa pembe hizo atapiga mataifa, 2 hata yaliyo miisho ya dunia. 1 Hivyo ndivyo yalivyo makumi elfu ya Efraimu; 2 hivyo ndivyo yalivyo maelfu ya Manase.”

Job 39:10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? 2 Je, atalima mabonde nyuma yako? 1

Psalms 22:21Niokoe kutoka kinywani mwa simba, 2 niokoe kutoka pembe za mafahali mwitu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 23:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 23:21Numbers 23Numbers 23:23 →