Ayubu 4:12
“Neno lililetwa kwangu kwa siri, 2 masikio yangu yakasikia mnongʼono wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now a thing was secretly brought to me, and mine ear received a little thereof.
In Context
11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, 2 nao wana wa simba jike hutawanyika. 1
13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku, 2 hapo usingizi mzito uwapatapo wanadamu, 1
Cross References
Job 26:14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake; 2 tazama jinsi ulivyo mdogo mnongʼono tunaousikia kumhusu! 1 Ni nani basi awezaye kuelewa 2 ngurumo za nguvu zake?”
1 Corinthians 13:12Kwa maana sasa tunaona taswira kama kwa kioo, lakini wakati huo tutaona wazi. Sasa nafahamu kwa sehemu, wakati huo nitafahamu kikamilifu, kama vile mimi ninavyofahamika kikamilifu.