Ayubu 4:11
Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo, 2 nao wana wa simba jike hutawanyika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The old lion perisheth for lack of prey, and the stout lion’s whelps are scattered abroad.
In Context
10Simba anaweza kunguruma na kukoroma, 2 lakini bado meno ya simba mkubwa huvunjika. 1
12“Neno lililetwa kwangu kwa siri, 2 masikio yangu yakasikia mnongʼono wake. 1
Cross References
Genesis 49:9Ee Yuda, wewe ni mwana simba; 2 unarudi toka mawindoni, mwanangu. 1 Kama simba hunyemelea na kulala chini, 2 kama simba jike: nani athubutuye kumwamsha? 1
Numbers 24:9Hujikunyata na kuvizia kama simba, 2 kama simba jike; nani anayethubutu kumwamsha? 1 “Abarikiwe kila akubarikiye, 2 na alaaniwe kila akulaaniye!”
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 38:39“Je, utamwindia simba jike mawindo, 2 na kuwashibisha simba wenye njaa 1
Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1
Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1