Ayubu 4:18
Kama Mungu hawaamini watumishi wake, 2 kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, he put no trust in his servants; and his angels he charged with folly:
In Context
17‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu? 2 Je, mtu aweza kuwa safi kuliko Muumba wake? 1
Cross References
Job 25:4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 2 Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 1
Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1
Isaiah 6:2Juu yake walikuwepo maserafi, kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao, na kwa mawili walikuwa wakiruka.
Jude 1:6Nao malaika ambao hawakulinda nafasi zao, lakini wakayaacha makao yao, hawa amewaweka katika giza, wakiwa wamefungwa kwa minyororo ya milele kwa ajili ya hukumu Siku ile kuu.