The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 4 › Ayubu 4:19

Ayubu 4:19

ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba 2 za udongo wa mfinyanzi, 1 ambazo misingi yake ipo mavumbini, 2 ambao wamepondwa kama nondo! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How much less in them that dwell in houses of clay, whose foundation is in the dust, which are crushed before the moth?

In Context

18Kama Mungu hawaamini watumishi wake, 2 kama yeye huwalaumu malaika zake kwa kukosea, 1

20Kati ya mawio na machweo 2 huvunjwa vipande vipande; 1 bila yeyote kutambua, 2 huangamia milele. 1

Read all of Ayubu 4

Cross References

Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”

Job 10:9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. 2 Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 1

Job 13:28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.

Job 22:16Waliondolewa kabla ya wakati wao, 2 misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 1

Job 33:6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; 2 mimi pia nimetolewa kwenye udongo. 1

Psalms 90:5Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, 2 nao ni kama majani machanga ya asubuhi: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 4:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 4:18Ayubu 4Ayubu 4:20 →