The Bible Software
bible.softwareJobJob 4 › Job 4:2

Job 4:2

“Kama mtu akithubutu kuzungumza nawe, 2 kutakukasirisha? 1 Lakini ni nani awezaye 2 kujizuia asiseme? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If we assay to commune with thee, wilt thou be grieved? but who can withhold himself from speaking?

In Context

1Ndipo Elifazi Mtemani akajibu: 1

3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, 2 jinsi ambavyo umeitia nguvu 2 mikono iliyokuwa dhaifu. 1

Read all of Job 4

Cross References

Job 32:20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; 2 ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 1

Jeremiah 20:9Lakini kama nikisema, “Sitamtaja 2 wala kusema tena kwa jina lake,” 1 neno lake linawaka ndani ya moyo wangu kama moto, 2 moto uliofungwa ndani ya mifupa yangu. 1 Nimechoka sana kwa kulizuia ndani mwangu; 2 kweli, siwezi kujizuia. 1

2 Corinthians 2:4Kwa maana niliwaandikia kutokana na dhiki kubwa na kutaabika sana kwa moyo wangu tena kwa machozi mengi, shabaha yangu si ili niwasababishe mhuzunike bali kuwaonyesha kina cha upendo wangu kwenu. 1 Msamaha Kwa Mwenye Dhambi

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 4:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 4:1Job 4Job 4:3 →