Ayubu 40:19
Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, 2 lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is the chief of the ways of God: he that made him can make his sword to approach unto him.
In Context
18Mifupa yake ni bomba za shaba, 2 maungo yake ni kama fito za chuma. 1
20Vilima humletea yeye mazao yake, 2 nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. 1
Cross References
Job 41:33Hakuna chochote duniani kinacholingana naye: 2 yeye ni kiumbe kisicho na woga. 1
Psalms 104:24Ee Bwana, jinsi matendo yako yalivyo mengi! 2 Kwa hekima ulizifanya zote, 2 dunia imejaa viumbe vyako. 1