Job 41:33
Hakuna chochote duniani kinacholingana naye: 2 yeye ni kiumbe kisicho na woga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Upon earth there is not his like, who is made without fear.
In Context
32Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta; 2 mtu angedhani vilindi vilikuwa na mvi. 1
34Yeye huwatazama chini wale wote wenye kujivuna; 2 yeye ni mfalme juu ya wote wenye kiburi.”
Cross References
Job 40:19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu, 2 lakini Muumba wake anaweza kumsogelea kwa upanga wake. 1