Job 40:21
Hulala chini ya mimea ya yungiyungi, 2 katika maficho ya matete kwenye matope. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He lieth under the shady trees, in the covert of the reed, and fens.
In Context
20Vilima humletea yeye mazao yake, 2 nao wanyama wote wa porini hucheza karibu naye. 1
22Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake; 2 miti mirefu karibu na kijito humzunguka. 1
Cross References
Isaiah 35:7Mchanga wa moto utakuwa bwawa la maji, 2 ardhi yenye kiu itabubujika chemchemi. 1 Maskani ya mbweha walikolala hapo awali 2 patamea majani, matete na mafunjo. 1