Isaiah 35:7
Mchanga wa moto utakuwa bwawa la maji, 2 ardhi yenye kiu itabubujika chemchemi. 1 Maskani ya mbweha walikolala hapo awali 2 patamea majani, matete na mafunjo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 107:35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, 2 nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 1
Isaiah 19:6Mifereji itanuka; 2 vijito vya Misri vitapungua 2 na kukauka. 1 Mafunjo na nyasi vitanyauka, 2
Isaiah 34:13Miiba itaenea katika ngome za ndani, 2 viwawi na michongoma itaota 2 kwenye ngome zake. 1 Itakuwa maskani ya mbweha, 2 makao ya bundi. 1
Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1
Hosea 1:10“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’
Luke 13:29Watu watatoka mashariki na magharibi, kaskazini na kusini, nao wataketi kwenye sehemu walizoandaliwa karamuni katika Ufalme wa Mungu.