The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 41 › Ayubu 41:1

Ayubu 41:1

“Je, waweza kumvua Lewiathani + 41:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. kwa ndoano ya samaki, 2 au kufunga ulimi wake kwa kamba? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Canst thou draw out leviathan with an hook? or his tongue with a cord which thou lettest down?

In Context

2Waweza kupitisha kamba puani mwake, 2 au kutoboa taya lake kwa kulabu? 1

Read all of Ayubu 41

Cross References

Genesis 9:10pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani.

Job 40:24Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho, 2 au kumnasa kwa mtego na kutoboa pua yake?

Psalms 104:26Huko meli huenda na kurudi, 2 pia Lewiathani, + 104:26 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. uliyemuumba acheze ndani yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 41:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Ayubu 41Ayubu 41:2 →