Ayubu 41:12
“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake, 2 nguvu zake na umbo lake zuri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will not conceal his parts, nor his power, nor his comely proportion.
In Context
13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje? 2 Ni nani awezaye kumsogelea na lijamu? 1
Cross References
Genesis 1:25Mungu akafanya wanyama pori kulingana na aina zake, wanyama wa kufugwa kulingana na aina zake, na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi kulingana na aina zake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.