Ayubu 41:11
Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa? 2 Kila kitu kilicho chini ya mbingu ni mali yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who hath prevented me, that I should repay him? whatsoever is under the whole heaven is mine.
In Context
10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. 2 Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 1
12“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake, 2 nguvu zake na umbo lake zuri. 1
Cross References
Exodus 19:5Sasa kama mkinitii kikamilifu na kutunza Agano langu, basi ninyi mtakuwa mali yangu ya thamani kubwa miongoni mwa mataifa yote. Ijapokuwa dunia yote ni mali yangu,
1 Chronicles 29:11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, 2 na utukufu na enzi na uzuri, 1 kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani 2 ni chako wewe. 1 Ee Bwana, ufalme ni wako; 2 umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 1
Job 35:7Kama wewe ni mwadilifu, unampa nini, 2 au yeye anapokea nini mkononi kwako? 1
Psalms 24:1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, 2 ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 1
Psalms 115:16Mbingu zilizo juu sana ni mali ya Bwana, 2 lakini dunia amempa mwanadamu. 1
1 Corinthians 10:26Kwa maana, “Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya Bwana.”