Ayubu 41:17
Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine; 2 zimengʼangʼaniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They are joined one to another, they stick together, that they cannot be sundered.
In Context
16kila moja iko karibu sana na mwenzake, 2 wala hakuna hewa iwezayo kupita kati yake. 1
18Akipiga chafya mwanga humetameta; 2 macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 1