Ayubu 41:18
Akipiga chafya mwanga humetameta; 2 macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
By his neesings a light doth shine, and his eyes are like the eyelids of the morning.
In Context
19Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake; 2 cheche za moto huruka nje. 1
Cross References
Revelation 1:14Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto.