Ayubu 41:20
Moshi hufuka kutoka puani mwake, 2 kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Out of his nostrils goeth smoke, as out of a seething pot or caldron.
In Context
19Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake; 2 cheche za moto huruka nje. 1
21Pumzi yake huwasha makaa ya mawe, 2 nayo miali ya moto huruka kutoka kinywani mwake. 1
Cross References
Job 39:20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, 2 akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno? 1