Ayubu 41:19
Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake; 2 cheche za moto huruka nje. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Out of his mouth go burning lamps, and sparks of fire leap out.
In Context
18Akipiga chafya mwanga humetameta; 2 macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 1
20Moshi hufuka kutoka puani mwake, 2 kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. 1