Ayubu 41:26
Upanga unaomfikia haumdhuru, 2 wala mkuki au mshale wala fumo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sword of him that layeth at him cannot hold: the spear, the dart, nor the habergeon.
In Context
25Ainukapo, mashujaa wanaogopa; 2 hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. 1
27Chuma hukiona kama unyasi, 2 na shaba kama mti uliooza. 1
Cross References
Exodus 28:32na katikati uweke nafasi ya kuingizia kichwa. Kutakuwa na utepe uliofumwa, unaofanana na ukosi kuizunguka nafasi hiyo, ili isichanike.