Ayubu 41:25
Ainukapo, mashujaa wanaogopa; 2 hurudi nyuma mbele yake anapokwenda kwa kishindo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When he raiseth up himself, the mighty are afraid: by reason of breakings they purify themselves.
In Context
24Kifua chake ni kigumu kama mwamba, 2 kigumu kama jiwe la chini la kusagia. 1
26Upanga unaomfikia haumdhuru, 2 wala mkuki au mshale wala fumo. 1
Cross References
Psalms 107:28Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, 2 naye akawatoa kwenye taabu yao. 1