Ayubu 41:28
Mishale haimfanyi yeye akimbie; 2 mawe ya kombeo kwake ni kama makapi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The arrow cannot make him flee: slingstones are turned with him into stubble.
In Context
27Chuma hukiona kama unyasi, 2 na shaba kama mti uliooza. 1
29Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; 2 hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. 1
Cross References
Job 39:7Huzicheka ghasia za mji, 2 wala hasikii kelele za mwendesha gari. 1