Ayubu 41:29
Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu; 2 hucheka sauti za kugongana kwa mkuki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Darts are counted as stubble: he laugheth at the shaking of a spear.
In Context
28Mishale haimfanyi yeye akimbie; 2 mawe ya kombeo kwake ni kama makapi. 1
Cross References
2 Chronicles 26:14Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, dirii, pinde na mawe ya kombeo.