Ayubu 5:11
Huwainua juu wanyonge, 2 nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To set up on high those that be low; that those which mourn may be exalted to safety.
In Context
10Yeye huipa nchi mvua, 2 huyapeleka maji kunyesha mashamba. 1
12Huipinga mipango ya wenye hila, 2 ili mikono yao isifikie ufanisi. 1
Cross References
Deuteronomy 33:27Mungu wa milele ni kimbilio lako, 2 na chini kuna mikono ya milele. 1 Atamfukuza adui yako mbele yako, 2 akisema, ‘Mwangamize yeye!’ 1
Job 8:7Ijapokuwa mwanzo wako ulikuwa mdogo, 2 lakini mwisho wako utakuwa wa mafanikio. 1
Psalms 107:41Lakini yeye aliwainua wahitaji katika taabu zao, 2 na kuongeza jamaa zao kama makundi ya kondoo. 1
Ezekiel 17:24Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”
Luke 6:21Mmebarikiwa ninyi mlio na njaa sasa, 2 kwa sababu mtashibishwa. 1 Mmebarikiwa ninyi mnaolia sasa, 2 kwa sababu mtacheka. 1
James 4:6Lakini yeye hutupatia neema zaidi. Hii ndiyo sababu Andiko husema: 1 “Mungu huwapinga wenye kiburi, 2 lakini huwapa wanyenyekevu neema.”