Ayubu 5:10
Yeye huipa nchi mvua, 2 huyapeleka maji kunyesha mashamba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who giveth rain upon the earth, and sendeth waters upon the fields:
In Context
9Yeye hutenda maajabu yasiyoweza kutambuliwa, 2 miujiza isiyoweza kuhesabika. 1
11Huwainua juu wanyonge, 2 nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 1
Cross References
Job 36:27“Yeye huvuta juu matone ya maji, 2 ayachujayo kama mvua kutoka kwenye vijito; 1
Job 37:6Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’ 2 nayo manyunyu ya mvua, ‘Uwe mvua ya nguvu.’ 1
Psalms 65:9Waitunza nchi na kuinyeshea, 2 waitajirisha kwa wingi. 1 Vijito vya Mungu vimejaa maji 2 ili kuwapa watu nafaka, 2 kwa maana wewe umeviamuru. 1
Psalms 147:8Yeye huzifunika anga kwa mawingu, 2 huinyeshea ardhi mvua, 2 na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 1
Jeremiah 10:13Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma; 2 huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia. 1 Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua, 2 naye huuleta upepo kutoka ghala zake. 1
Amos 4:7“Pia niliwazuilia ninyi mvua miezi mitatu 2 kabla ya kufikia mavuno. 1 Nilinyesha mvua kwenye mji mmoja, 2 lakini niliizuia mvua isinyeshe mji mwingine. 1 Shamba moja lilipata mvua, 2 na lingine halikupata, nalo likakauka. 1