Ayubu 5:25
Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, 2 nao wazao wako wengi kama majani ya nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt know also that thy seed shall be great, and thine offspring as the grass of the earth.
In Context
24Utajua ya kwamba hema lako li salama; 2 utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua. 1
Cross References
Genesis 13:16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.
Leviticus 26:9“ ‘Nitawaangalia kwa upendeleo na kuwafanya mzae na kuzidisha idadi yenu, nami nitalishika Agano langu na ninyi.
Job 42:13Tena alikuwa na wana saba na binti watatu.
Psalms 112:2Watoto wake watakuwa wenye uwezo katika nchi, 2 kizazi cha watu waadilifu kitabarikiwa. 1
Psalms 128:3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao 2 ndani ya nyumba yako; 1 wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni 2 kuizunguka meza yako. 1