Job 5:3
Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, 2 lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have seen the foolish taking root: but suddenly I cursed his habitation.
In Context
2Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, 2 nao wivu humchinja mjinga. 1
4Watoto wake wako mbali na usalama, 2 hushindwa mahakamani bila mtetezi. 1
Cross References
Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Job 27:8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu 2 analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, 2 Mungu anapouondoa uhai wake? 1
Psalms 69:25Mahali pao na pawe ukiwa, 2 wala asiwepo yeyote atakayeishi katika mahema yao. 1
Psalms 73:18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, 2 unawaangusha chini kwa uharibifu. 1
Jeremiah 12:1Wewe daima u mwenye haki, Ee Bwana, 2 niletapo mashtaka mbele yako. 1 Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: 2 Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? 1 Kwa nini wasio waaminifu 2 wote wanaishi kwa raha? 1