The Bible Software
bible.softwareJobJob 6 › Job 6:21

Job 6:21

Sasa nanyi mmethibitika kwamba hamna msaada wowote; 2 mnaona jambo la kutisha, nanyi mnaogopa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For now ye are no thing; ye see my casting down, and are afraid.

In Context

20Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; 2 wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia. 1

22Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu, 2 au mnilipie fidia kutoka mali zenu, 1

Read all of Job 6

Cross References

Job 6:15Lakini ndugu zangu sio wa kutegemewa, 2 ni kama vijito vya msimu, 2 ni kama vijito ambavyo hufurika 1

Job 19:19Rafiki zangu wa moyoni wote wananichukia kabisa; 2 wale niwapendao wamekuwa kinyume nami. 1

Psalms 62:9Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, 2 nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; 1 wakipimwa kwenye mizani, si chochote; 2 wote kwa pamoja ni pumzi tu. 1

Isaiah 2:22Acheni kumtumainia mwanadamu, 2 ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. 1 Yeye ana thamani gani?

Jeremiah 51:9“ ‘Tungemponya Babeli, 2 lakini hawezi kuponyeka; 1 tumwacheni, na kila mmoja wetu aende nchi yake mwenyewe, 2 kwa kuwa hukumu yake inafika angani, 2 inapanda juu hadi mawinguni.’ 1

Matthew 26:56Lakini haya yote yametukia ili maandiko ya manabii yapate kutimia.” Ndipo wanafunzi wake wote wakamwacha na kukimbia. 1 Yesu Mbele Ya Kuhani Mkuu (Marko 14:53-65; Luka 22:54-71; Yohana 18:13-24)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 6:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 6:20Job 6Job 6:22 →