Isaiah 2:22
Acheni kumtumainia mwanadamu, 2 ambaye hana kitu ila pumzi katika pua zake. 1 Yeye ana thamani gani?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Cease ye from man, whose breath is in his nostrils: for wherein is he to be accounted of?
In Context
Cross References
Genesis 2:7Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi + 2:7 Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu. ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Job 7:15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa, 2 kuliko huu mwili wangu. 1
Psalms 8:4mwanadamu ni kitu gani hata unamfikiria, 2 binadamu ni nani hata unamjali? 1
Psalms 144:3Ee Bwana, mwanadamu ni nini hata umjali, 2 Binadamu ni nini hata umfikirie? 1
Isaiah 40:15Hakika mataifa ni kama tone ndani ya ndoo, 2 ni kama vumbi jembamba juu ya mizani, 2 huvipima visiwa kana kwamba vilikuwa vumbi laini. 1
James 4:14Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.