Ayubu 6:5
Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, 2 au ngʼombe dume hulia akiwa na chakula? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Doth the wild ass bray when he hath grass? or loweth the ox over his fodder?
In Context
6Je, chakula kisicho na ladha huliwa bila chumvi, 2 au upo utamu katika ute mweupe wa yai? 1
Cross References
Psalms 42:1Kama vile ayala aoneavyo shauku vijito vya maji, 2 ndivyo nafsi yangu ikuoneavyo shauku, Ee Mungu. 1
Jeremiah 14:6Punda-mwitu wanasimama juu ya miinuko iliyo kame 2 na kutweta kama mbweha; 1 macho yao yanakosa nguvu za kuona 2 kwa ajili ya kukosa malisho.” 1