The Bible Software
bible.softwareJobJob 6 › Job 6:4

Job 6:4

Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the arrows of the Almighty are within me, the poison whereof drinketh up my spirit: the terrors of God do set themselves in array against me.

In Context

3Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, 2 kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. 1

5Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, 2 au ngʼombe dume hulia akiwa na chakula? 1

Read all of Job 6

Cross References

Deuteronomy 32:42Nitailevya mishale yangu kwa damu, 2 wakati upanga wangu ukitafuna nyama: 1 damu ya waliochinjwa pamoja na mateka, 2 vichwa vya viongozi wa adui.” 1

Job 9:17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba 2 na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 1

Job 16:12Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1

Job 21:20Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake; 2 yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi. 1

Job 31:23Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu, 2 nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo. 1

Psalms 18:14Aliipiga mishale yake na kutawanya adui, 2 naam, umeme mwingi wa radi na kuwafukuza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 6:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 6:3Job 6Job 6:5 →